Shairi ni nini?

Uliza UjibiweAina: UshairiShairi ni nini?
Mwanagenzi Msimamizi aliuliza Miaka 3 zilizopita

Naomba kujua maelezo mwafaka ya neno “Shairi”.

Majibu 2
Jibu Bora
Hamadi alijibu Miaka 3 zilizopita

Shairi ni tungo yenye muundo na lugha ya kisanii na inayofuata utaratibu wa vina na mizani, hisi au tukio juu ya maisha au jambo na hufuata utaratibu maalumu wa urari na muwala unaozingatia kanuni za utunzi.

Mwatambo alijibu Miaka 3 zilizopita

Shairi ni kama wimbo.

Jibu Lako