Tafsiri ya 'Remote control'

Uliza UjibiweAina: TeknolojiaTafsiri ya 'Remote control'
Lenny Omolo aliuliza Miaka 3 zilizopita

Naomba kujua ‘Remote Control’ inaitwaje kwa lugha ya Kiswahili. 

Majibu 3
Jibu Bora
Mwanagenzi Msimamizi alijibu Miaka 3 zilizopita

‘Remote Control’ kwa Kiswahili ni Kitenzambali. 

Muthuri Wa Gakufia alijibu Miaka 3 zilizopita

Nafikiri ‘Remote Control’  Ni kisamba mbali

Aura Boaz Stephen alijibu Mwaka 1 zilizopita

kiunga mbali

Jibu Lako