Maana ya Mathnawi

Uliza UjibiweAina: UshairiMaana ya Mathnawi
John Musembi aliuliza Miaka 3 zilizopita

Nieleze maana kamili kuhusu bahari ya ushairi inayoitwa mathnawi.

Majibu 2
Jibu Bora
Kimani alijibu Miaka 3 zilizopita

Mathnawi ni shairi la vipande viwili (ukwapi na utao) katika kila mshororo. Mashairi mengi ya Kiswahili yametungwa kwa kutumia mtindo huu. Kati ya vipande hivyo viwili mshairi huainisha aghalabu kwa kutumia alama ya ‘koma’. Mwisho wa kila upande kwa kila mshoro kuna vina.

Mwanadi alijibu Miaka 3 zilizopita

Ni aina ya shairi

Jibu Lako