Misamiati ya Teknolojia

Uliza UjibiweAina: KiswahiliMisamiati ya Teknolojia
Christopher Lameck aliuliza Miaka 2 zilizopita

Habari ndugu. Shuleni nilifunzwa kuwa Kiswahili ni lugha ambayo ilipokea maneno mengi kutoka lugha kadhaa zikiwemo Kiarabu, Kijerumani, na lugha za asili kwetu hapa Tanzani. Sasa swali langu ni: Haya maneno (hususani maneno ambayo ni ya kisasa yanayotumika katika teknolojia za kisasa) ambayo ni kama mapya yanatoka katika lugha gani? Aidha, ninaweza pata chapisho lolote ambalo lina lugha ambayo maneno haya yametoka?
ASANTE

Majibu 1
Kimani wa Mbogo alijibu Miaka 2 zilizopita

Shukran Christopher kwa swali lako. Maneno mengi sana sana yanayotumika katika teknolojia yametokana la lugha za kigeni kama vile Kiingereza. Hata hivyo ipo baadhi ya misamiati ya Kiswahili ambayo imechangia pakubwa katika maswala ya kiteknolojia. Tazama maelezo zaidi kama yalivyoandikwa na K.W. Wamitila hapa… http://www.qucosa.de/fileadmin/data/qucosa/documents/9850/wamitila.pdf

Jibu Lako